PD수첩과 jtbc 방송에 대한 돌나라 입장-돌나라 석선 선생님 말씀

[스와힐리어] 天이 되어라 Kuwa Mungu

돌나라 2022. 12. 14. 09:51

 

[Kuwa Mungu]

 

[Bwana ameniambia, “Ndiwe Mwanangu, leo nimekuzaa.”]“ Ukitaka kuishi pamoja na mama ng’ombe , lazima uwe mzao wa mama ng'ombe.Ukitaka kuishi pamoja na mama kulungu , lazima uwe mzao wa kulungu.Ukitaka kuishi pamoja na mama tai, lazima uwe mzao wa mama tai.Ukitaka kuishi pamoja na mama ndege finiksi , lazima uwe mzao wa ndege finiksi .Ukitaka kuishi pamoja na Mungu, lazima uwe mtoto wa Mungu.”Saa hii, hakika nitawafanya mpate kuwa miungu.